| Mjasiriamali na Muandaaji wa wa Semina ya Kilimo na Ufugaji wa Kisasa Bi. Mary David Kinong’o akitoa Maelezo juu ya Kilimo na Ufugaji wa kisasa ambapo aliwasisitiza Vijana na watu wote kujiunga na ujasiliamali na kuunda vikundi mbalimbali ili kujiendeleza kiuchumi. |
| Wa kwanza Kulia ni Stella mmoja wa akina dada ambaye amekuwa mfano mzuri wa kuigwa katika semina hiyo akieleza ujuzi wake umuhimu wa mikutano kama hii ambapo yeye anafanya kilimo cha Mpunga ambapo alianza na kuvuna Gunia Mbili na sasa amefikisha mpaka Tani 100 na zaidi baada ya kupata elimu Bora ya Kilimo. |
Bwana Daniel Ambaye ni Mkulima na Mfugaji akichangia uzoefu wake katika maswala ya kilimo. Mwendeshaji
msaidizi wa Semina Hiyo Bwana Saidi akitoa mafunzo ya juu ya kuanzisha
kilimo kwa kutumia Green House pamoja na faida zake.
|


No comments:
Post a Comment