KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 14, 2015

ZITTO KABWE AKIWA MJINI MOROGORO KATIKA ZIARA ZAKE NA ACT

to1
Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia katika mji wa Morogoro jana.
to2
Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Morogoro jana.
to5
Umati wa wananchi 
to6
Kiongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo Zitto Kabwe, akishiriki kuzika miili ya watu walioungua kwa moto uliotokana na ajali jana.              

No comments:

Post a Comment