KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 19, 2015

HAFLA YA KUMUAGA RAS TANGA NA KUMKARIBISHA RAS RUKWA -UKUMBI WA KANYAU SUMBAWANGA MJINI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisalimiana na Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa sasa Mkoa wa Tanga Alhaj Salum Chima  muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kumuaga Ndugu Chima na kumkaribisha Ndugu Smythies Pangisa (katikati) aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara sasa Mkoa wa Rukwa. Hafla hiyo ilifanyika tarehe 13 Juni 2015 katika ukumbi wa Kanyau Sumbawanga Mkoani Rukwa.
Watumishi waliofanya kazi kwa karibu zaidi na Katibu Tawala Mkoa wa Tanga Alhaj Salum Chima wakikabidhi zawadi zao.                   
Picha ya Pamoja kati ya wageni wa meza kuu na wakuu wa idara Sekretarieti ya Mkoa wa Rukwa.                  

No comments:

Post a Comment