KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 26, 2015

KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA KATIKA ZIARA JIMBO LA SUMVE

????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na kumpongeza mbunge wa jimbo la Sumve Mh. Richard Ndasa kushoto na Halmashauri ya wilaya ya Kwimba kwa kujenga Lambo hilo na visima vya maji kwa ajili ya wananchi wa vijiji hivyo, kutoka kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa  Mwanza Miraji Mtaturu na Mkuu wa wilaya ya Kwimba Bi. Pili Moshi.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ofisi ya CCM kata ya Nyambiti.      
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano huo uliofanyika katika mji wa Sumve.          
????????????????????????????????????
Baadhi ya vijana waliojiunga na Chama cha Mapinduzi leo wakionyesha kadi zao za zamani wakati wakiwa katika chama cha CHADEMA.      

No comments:

Post a Comment