![]() |
| Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. |
![]() |
| Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kutambulisha viongozi wake. |




No comments:
Post a Comment