KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 26, 2015

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AKAGUA SOKO KUU WILAYANI MASASI LILOTEKETEA KWA MOTO

1
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimsikiliza Mwenyekiti wa Soko Kuu wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Abdallah Mandoma, lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana, mjini humo ambapo  chanzo cha moto huo kimeelezwa ni hitilafu ya umeme.
2

mail.google.com
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akisalimiana na askari aliposhuka kuwapa pole abiria waliopata ajali eneo la Kata ya Mtua Kijiji cha Kilimahewa A, Mkoani Lindi jana, ambapo watu wawili walipoteza maisha. Chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi akijaribu kumkwepa muendesha baskeli.                   

No comments:

Post a Comment