![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe akiwa ameshika mwenge wa Uhuru baada ya kupokea kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kushoto) akiwa amekumbatiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru. |
![]() |
| Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Bw. Juma Khatibu Chum akifungua kitambaa kama ishara ya kuzindua zoezi la uandikishaji wapiga kura Wilayani Mvomero lililofanyika katika Kijiji cha Salawe Kata ya Kibati. |
![]() |
| Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Bw. Juma Khatib (katikati) akipewa maelezo ya zoezi la uandikishaji wa wapiga kura litakavyoendeshwa, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi hilo. (Kulia mwenye tracksuit) ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Betty Mkwasa. |






No comments:
Post a Comment