![]() |
| Mh. Lowassa akiwapungia mkono WanaCCM hao wa Mji wa Tengeru waliokuwa wamefurika kwa wingi barabarani. |
![]() |
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akikabidhi sehemu ya fomu hizo kwa Mkewe Mama Regina Lowassa.
Kulia ni Mwenyekiti wa CCM jijini Arusha, Ndg.Onesmo Ole Nangole.
|
![]() |
| Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkewe, Mama Regina Lowassa. |
![]() |
| Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Jiji la Arusha waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa ulipo mbele ya Ofisi za CCM Mkoa huo, leo Juni 24, 2015, wakati alipofika kwa ajili ya kupata udhamini utakaomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. |






No comments:
Post a Comment