KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 12, 2015

MSUMBIJI YAJA KUJIFUNZA UTEKELEZAJI WA BRN TANZANIA

3
ujumbe kutoka Msumbiji (kushoto) na Wakurugenzi wa Wizara ya Maji katika kikao cha pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba.
1
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba akizungumza na Ujumbe kutoka kutoka Msumbiji                                               
4
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Msumbiji, Watumishi wa PDB na Wizara ya Maji.                              

No comments:

Post a Comment