| Mhasibu Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdulkarim Kisuguru akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula pamoja na vifaa vya shule katika Kituo cha Kulelea Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu cha, Darul-Arqam cha Tandika jijini Dar es salaam. |
| Baadhi ya watoto wanaolelea katika kituo cha Darul-Arqam cha Tandika jijini Dar es salaam wakiwa katika hafla ya kupokea msaada wa vyakula na vifaa vya shule vilivyotolewa na NSSF. |


No comments:
Post a Comment