![]() |
| Mwanamke mkazi wa kijiji cha Itundu kata ya Mlangali wilaya ya Ludewa akimchangia mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe wa pili kushoto pesa ya fomu ya ubunge wa kwanza kushoto ni katibu wake Bw Stany Gowele |
![]() |
| Mbunge Filikunjombe akichangiwa pesa ya kuchukulia fomu ya ubunge muda ukifika |
![]() |
| Mbunge Filikunjombe akifurahia kuchangia pesa ya kuchukulia fomu ya ubunge |





No comments:
Post a Comment