KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 18, 2015

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MOSHI MJINI AZOA WADHAMINI WAKUTOSHA

BM1
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250. Picha zote na John Badi
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akikabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi mjini, Ole Nesele fomu zilizotiwa saini na wanachama wa CCM, Ofisini hapo Juni 17.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.            
BM9
Kundi la madereva wa Bodaboda wakiwa tayari nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi Juni 17.2015, wakisubiri kumsindikiza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe, baada ya kumaliza heka heka za kutafuta wadhamini kwa  ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.                  
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akiwasalimia  wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mjini Moshi Juni 17.2015,  kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.                    

No comments:

Post a Comment