KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 18, 2015

ZITTO KABWE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MJINI KIGOMA

1
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.
5
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.                
7
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akicheza wimbo wa chama ulioimbwa na msanii, Baba Levo, wakati wa mkutano wahadhara mjini Kigoma jana. (DK)                        

No comments:

Post a Comment