Mkurugenzi mtendaji
wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju
ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha
mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa hadhara katika kata mpya ya
Olmoti jana ambapo wagombea 12 walipata fursa ya kujitambulisha kwa
wananchi na kunadi sera zao, Mustapha panju amesema kuwa kilicho msukuma
kugombea nafasi hiyo ni kuakikisha wananchi wa jimbo la arusha wanapata
ridhaa ya kuwa na maendeleo ya hali ya juu ikiwemo kuweza kukua
kisayansi na kuweza kufika mwezini.(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Mustafa Panju akiwa na wagombea
wenzake wa chama hicho jana katika kata mpya ya Olmoti jijini Arusha
walipokwenda kujitambulisha kwa wananchi na kunadi sera zao pia walipata
fursa ya kutembelea kata ya Olasiti,Osunyai JR
Katibu wa CCM wilaya ya Arusha,
Ferooz Bano akizungumza katika kata mpya ya Olmoti jana ambapo
alisisitiza wananchi kusikiliza sera za wagombea huku akiwataka
kutokupiga makofi au kushangilia wakati wakijieleza
No comments:
Post a Comment