Mh. Rais Yoweri Museveni wa
Uganda akifungua rasmi mkutano wa Marais wastaafu wa Afrka AFRICA
LEADERSHIP FORUM unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
salaam Mkutano huo unaojumuisha marais wastaafu Benjamin Mkapa wa
Tanzania , Olusegun Obasanjo wa Nigeria, Hifikepunye Lucas Pohamba wa
Namibia, Festus Mogaye wa Botswana, Bakili Muluzi wa Malawi na Jerry
Rowlings wa Ghana unajadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika bara
la Afrika na Changamoto zinazokabili barahilo na umeandaliwa na Taasisi
ya Uongozi Institute. |
No comments:
Post a Comment