KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 7, 2015

TASWIRA BAADA YA HUKUMU YA MRAMBA NA YONA MAHAKAMA YA KISUTU JANA

Baadhi ya ndugu wa Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona wakiwa 'wamevurugwa' baada ya hukumu hiyo ya kwenda jela miaka mitatu kila mmoja na faini ya shilingi milioni tano.
Gari lililokuwa limewabeba Waziri Mwandamizi wa zamani,Basil Mramba na Daniel Yona aliyekuwa Waziri wa zamani wa Nishati na Madini likiondoka mahakamani hapo kuelekea gerezani.
Waziri Mwandamizi Mstaafu, Bail Mramba, akielekea gerezani baada ya hukumu
Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Fedha Gray Mgonja akiwa haamini kilichotokea baada ya kuachiwa huru
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,Daniel Yona akitoka katika chumba cha mahabusu baada ya hukumu hiyo

No comments:

Post a Comment