KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 25, 2015

MAGUFULI APELEKA SUNAMI KATAVI, MIKUTANO YAKE WE ACHA TU

37
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akimsalimia mtoto Ruby aliyekuja na Mama yake kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kwa ajili ya kumpokea mgombea huyo wakati alipowasili mkoani humo kwa ajili ya kampeni.

22
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kulia akiwa  meza kuu pamoja na Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli  wakiimba wimbo kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni eneo la Katumba mkoani Katavi wa tatu kutoka kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Ndugu William Likuvi

23
Umati wa wananchi ukiwa umejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Mishamo Mchana wa leo mkoani Katavi.
29
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimnadi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Chama hicho uliofanyika eneo la Mishamo
30
Wananchi wakiwa wameshikilia mabango yenye picha za mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli huku wakipunga mikono yao juu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mishamo Mkoani Katavi
33
Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba za Dr. John Pombe Magufuli wakati akiwaomba kura katika moja ya mikutano yake ya kampeni mkoani Katavi leo.
34
Dr. John Pombe Magufuli wakati akiwaomba kura wananchi katika moja ya maeneo mbalimbali aliyopita na kuzungumza na wananchi akiwa kampeni zake za kuingia ikulu mkoani Katavi leo.
35
Wananchi mbalimbali wakimshangilia Dr. John Pombe Magufuli .

No comments:

Post a Comment