![]() |
| Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa hadhara leo katika jimbo la Monduli, mkoani Arusha jana |
![]() |
| Mgombea Ubunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM, Namelock Sokoine, akihutubia katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika jana |
![]() |
| Kina mama wa kimasai wakionyesha furaha yake, baada ya Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan kuwasili kwenye mkutano wa hadhara katika jimbo la Monduli leo. |
![]() |
| Vijana wakifurahi kwneye mkutano wa kampeni katika jimbo la Monduli. |
![]() |
| Kijana akishangilia wakati mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha leo kuhutubia mkutano wa kampeni. |







No comments:
Post a Comment