![]() |
| Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni aliofanya kwenye Viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro jana. |
![]() |
| Wananchi wakishangilia kwa furaha wakati mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani, alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro leo. |
![]() |
Mwananchi akishangilia kwa nguvu zake zote, mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani, alipohutubia mkutano wa kampeni kwenyeviwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro jana
|
![]() |
| Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni |






No comments:
Post a Comment