KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 2, 2015

MKUTANO WASIO NA AJIRA WAFANYIKA ZENJI

4
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Idara  Maalum Mhe, Haji Omar Kheir akitoa hutuba ya ufunguzi wa Jumuiya ya Watanzania Wasio na Ajira (TUWEPO) kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, leo katika Ofisi yao iliyopo Rahaleo Mjini Unguja (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Abdalla Mwnyi Khamis na Mwenyekiti wa Jumya hiyo Ussi Said Suleiman (kulia),
{Picha na Ikulu].
2
Baadhi ya wanajumuiya ya Watanzania Wasio na Ajira (TUWEPO) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Idara  Maalum Mhe, Haji Omar Kheir kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa jumuiya hiyo leo huko katika Ofisi yao rahale Mjini Unguja. 

No comments:

Post a Comment