![]() |
| Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhiwa fomu za uteuzi kwa nafasi ya ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Olliver Vavunge. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Mchinga Said Mtanda akipokea fomu za uteuzi kwa nafasi ya ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Olliver Vavunge. |







No comments:
Post a Comment