KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 14, 2015

NAPE AKANUSHA MAGUFULI KUGAWA KOMPYUTA MPAKATO KWA WAALIMU,ASEMA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM IKO TAYARI

3
Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiionyesha ilani ya uchaguzi iliyopitishwa jana na Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.Nape amelaani na kuzikanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti kuandika kwamba Dr. John Pombe Magufuli alinukuliwa akisema atagawa kwa kila mwalimu kompyuta moja na kila kijiji shilingi milioni 50 “Jambo hili ni uzushi mkubwa kwani Ilani ya Uchaguzi ilikuwa haijakuwa tayari ndiyo imekamilika jana, Mambo hayo hakuna kwenye ilani ya Uchaguzi ya CCM" alisema.
6
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.
7
Baadhi ya wapiga picha vyombo mbalimbali vya habari wakichukua matukio katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment