KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 21, 2015

JANET MBENE AKIMWAGA SERA HUKO ILEJE

Displaying DSC_9718.JPG
Kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya malangali kikitoa burudani kwa wanacahma wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene
Displaying DSC_9711.JPG
Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene
Displaying DSC_9807.JPG
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya malangali.

No comments:

Post a Comment