KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 7, 2015

JK NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAUTEKA MJI WA MOROGORO KWA MKUTANO WA KIHISTORIA WA KAMPENI

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.
 Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. John Pombe Magufuli.
 Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.
 Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.
Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.
 
 Sehemu ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni.
 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwasili kwa shangwe katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni.
 Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili.
 Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.
  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.
 
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zake.

No comments:

Post a Comment