![]() |
Afisa Mipango miji wa Manispaa ya Kinondoni Daresalaam Deogratias akiwa na kifaa cha kupigia picha Video Camera Eroplain(Drone)cha masafa marefu katika uzinduzi wa kifaa hicho mnazi mmoja zanzibar. |
![]() |
Kifaa cha Video Camera Eroplain(Drone)cha masafa mafupi kikiwa angani baada ya kurushwa kwa ajili ya kupigia picha za ramani ya mji katika Uzinduzi wa kifaa hicho mnazi mmoja zanzibar. |
No comments:
Post a Comment