Katika hali ya kustaajabisha mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi(
CCM) Mh John Magufuli amekutwa na pingamizi la wana mabadiliko mkoani
geita wakati akijaribu kuwashawishi wampigie kura za urais.hali ilianza
kua tata pale mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ya ccm Abdalah Bulembo
alipoanza kumsema vibaya mgombea wa urais kupitia Chadema na ukawa Mh
Edward Lowasa .ndipo ghafla kundi kubwa la wana mabadiliko walipoanza
kupinga na kunyenyua mabango ya kudhibitisha uhitahaji wao wa
mabadiliko.
hali ilizidi kuwa mbaya alipopanda Mgombea mwenyewe kuhutubia na ndipo
alipoonekana kukasirika na kuamrisha askari kudhibiti mvumo huo wa wana
mabadiliko.
kaa nami karibu nitaendelea kukujulisha kinachoendelea huko Geita, kwa hisani ya Siasa leo TZ blog


No comments:
Post a Comment