Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji mdogo
wa Katoro mkoani Geita mapema leo mchana kwenye viwanja vya mnada wa
Ng'ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya Wananchi
wamehudhuria
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi Wagombea Ubunge wa
jimbo la Bukombe na Chato mapema mchana huu alipokuwa akiwahutubia
wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, kwenye viwanja vya mnada
wa Ng'ombe,katika mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya
Wananchi wamehudhuria.
No comments:
Post a Comment