Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa
Morogoro, Noel Kazimoto akikabidhi mpango wa Kujiandaa na kukabili maafa
wilayani Mvomero kwa Katibu Tawala wilaya ya Mvomero, Veronica
Kinyemi wakati wa Uzinduzi wa mpango huo leo tarehe 3 Septemba, 2015,
anayeshuhudia ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu,
Brig.Gen, Mbazi Msuya. |
No comments:
Post a Comment