KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 22, 2015

UTAFITI WA TWAWEZA WAIBEBA CCM.....KAMA UCHAGUZI UNGEFANYIKA LEO ASILIMIA 66% WALISEMA MAGUFULI, 25% WALISEMA LOWASSA.



Taasisi ya Twaweza imetoa utafiti wake ambao inasema imefanya kwa wananchi wa Tanzania bara kutoka mikoa tofauti ya Tanzania. 
 
Swali la kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura mgombea wa chama gani? wanasema watu wamejibu kama ifuatavyo

CCM - 66%
CHADEMA - 22%
CUF - 1%
ACT wazalendo - 0%
UKAWA - 3%
Kingine - 6%
Hakuna jibu 2%


No comments:

Post a Comment