![]() |
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa wa Peoples mjini Singida leo na kusisitiza suala zima la watanzania kutoichezea Amani tuliyonayo. |
![]() |
Mgombea ubunge wa jimbo la Iramba Magharibi mkoani Singida akihutubia umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo na kumuombea kura Dk. John Pombe Magufuli. |
![]() |
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaombea kura mgombea ubunge jimbo la Singida mjini Bw. Juma Sima na wagombea wa viti maalum mkoa wa Singida kutoka kulia Bi. Asha na Martha Mlata kwenye mkutano wa kampeni. |
![]() |
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Iramba Magharibi Ndugu Mwigulu Nchemba katika mkutano uliofanyika mjini Kiomboi. |
![]() |
Baadhi ya wananchi wa Sibiti wakimkaribissha Dk. John Pombe Magufuli kwa ndelemo na vifijo wakati alipopita katika kijiji hicho. |
![]() |
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni tarafa ya Ilongelo Singida vijijini. |
No comments:
Post a Comment