KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 5, 2015

JERRY SLAA MGENI RASIMIN MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA TUNGUU ZANZIBAR.

1
Meya wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam Jerry Slaa akisalimiana na viongozi wa CCM wa Mkoa wa kusini Unguja katika Mkutano wa kampeni uliofanyika kiwanja cha Jumbi Skuli.
2
Kikundi cha ngoma ya sindimba kikitumbuiza katika Mkutano wa kuwanadi wagombea wa CCM wa Jimbo la Tunguu.
3
Mgeni rasimin Meya wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam Jerry Slaa (wakatikati alievaa miwani) na viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja wakitizama burudani katika Mkutano huo.
4
Mgeni rasimin Meya wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam Jerry Slaa ambaye pia ni mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa kampeni za Jimbo hilo.
5
Mgeni rasimin Meya wa Ilala Jerry Slaa akimnadi mgombea uwakilishi Simai Mohammed Said wa Jimbo la Tunguu kwa wananchi wa Mkoa huo.
6
Mgeni rasimi Meya wa Ilala Jerry Slaa akimnadi mgombe Ubunge wa Jimbo la Tunguu Khalifa Salim Suleiman katika Mkutano ulifanyika kiwanja cha Jumbi Skuli.

No comments:

Post a Comment