LOWASSA AMPONGEZA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU KUJIUNGA NA MABADILIKO
Mzee Kingunge
"Namshukuru sana Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kwa uamuzi yake wa busara
na kijasiri wa kuunga mkono mabadiliko. Kama muasisi wa CCM na mkongwe
wa siasa hapa nchini, ameonyesha kwamba mabadiliko nje ya CCM
yanawezekana"Amesema Lowassa kupitia akaunti yake ya Facebook.
No comments:
Post a Comment