KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 9, 2015

RAIS KIKWETE ATEMBELEA BUNGE LA MSUMBIJI

unnamed
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo wakipokea heshima.
unnamedX
Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo akimkabirisha Rais Kikwete katika bunge hilo,kumtambulisha kwa baadhi ya wabunge na kufanya naye mazungumzo.
unnamedK
Rais Kikwete akimtambulishwa kwa baadhi ya wabunge.
unnamedM
Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari Bungeni Maputo (kulia), Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo.
unnamedN
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo akishuhudia.

No comments:

Post a Comment