Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza na
Menejimenti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo pamoja na
Uongozi kutoka TCRA wakati wa ziara iliyofanywa na Menejimenti ya Wizara
ya Habari katika ofisi za TCRA kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa
na Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment