BREAKING NEWS! WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI VIGOGO TRA
Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa .Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi Makamishna
kadhaa wa Forodha katika Bandari ya Dar es salaam kufuatia upotevu wa data za makontena zaidi ya 300 bandarini hapo
No comments:
Post a Comment