KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 26, 2015

HATIMA YA KUAGWA KWA MWILI WA MAWAZO KUJULIKANA LEO MCHANA

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akizungumza baada ya kesi kuahirishwa.
Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema , Salum Mwalimu akizungumza baada ya kesi hiyo kuahirishwa.
John Mallya ambaye ni mmoja wa Mawakili wa Chadema akizungumza baada ya kesi kuahirishwa.Mahakama Kuu itaamua kuhusu hatma ya kuagwa kwa mwili wa marehemu Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita.RPC wa Mkoa wa Mwanza aliweka zuio la kuuaga mwili wa Mawazo Jijini Mwanza, Chadema na familia wakaenda Mahakama Kuu kupiga zuio hilo.Mawazo aliuawa kikatili Mkoani Geita na watu wasiofahamika.

No comments:

Post a Comment