KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA JESHI LA POLISI NA KUWATAKA KUONGEZA UFANISI KAZINI ILI KUENDANA NA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
Washiriki
wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi wakishiriki kuimba wimbo
wa mshikamano kwa wafanyakazi, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza hilo
uliofanyika Chuo cha Polisi Kilwa Road jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto), akipokelewa na Maofisa wa Jeshi la Polisi
alipowasili Chuo cha Polisi Kilwa Road, kufungua Kikao cha Baraza la
wafanyakazi wa Jeshi hilo, jijni Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment