Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' juu akimfanyisha mazoezi ya misuli ya shingo kupandisha na kushusha shingo uku akiwa juu ya bondia Ibrahimu Class 'King class Mawe' wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mapambano ya kitaifa na kimataifa ya bondia huyo Picha na SUPER DBOXING NEWS |
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimfanyisha mazoezi ya nguvu na kujenga misuli bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake na Twaha Kassimu utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro desemba 25 Picha na SUPER DBOXING NEWS |
No comments:
Post a Comment