Makamu
Mkuu wa Chuo cha kumbukumbu ya Hubet Kairuki Profesa, Kito Mshigeni
akizugumza na wanafunzi juu ya kutumia elimu waliyoipata kuwasaidia,
kuwainua, na kuwaletea matumaini mapya wote wenye uhitaji katika
jamii, kwa kadri ya uwezo wao, ameyazungunza hayo katika mahafali ya 13
ya chuo kuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki Jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Chuo Kikuu, Balozi Dk. Salim Ahmed Salim wa kwanza (kushoto) akiwa
na uongozi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki kabla ya
kuanza kutunukia elimu zao wanazo hitimu wahitimu wa elimu ya juu,
katika mahafali ya 13 ya chuo kikuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki
leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Chuo Kikuu, Balozi Dk. Salim Ahmed Salim akimkabidhi cheti cha
shahada ya kwanza ya Uuguzi mhitimu, Nyawawa Wawa leo katika mahafali
ya 13 ya chuo kikuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuk Jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment