| Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwasalimia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwa Wapiga kura wake mkutano uliofganyika katika Afisi za Jimbo Tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar. |
| Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakimsikiliza Mbunge wao wakati akitowa shukrani kwa wapiga kura wake katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya Jimbo Tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar. |


No comments:
Post a Comment