KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 30, 2015

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA IDARA YA JESHI LA POLISI NA KUWATAKA WAYAFANYIE KAZI MAAZIMIO WALIYOWEKEANA

Naibu Katibu Mkuu wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ,John Mngodo(katikati),akiwasili Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kilwa Road, jijini Dar es salaam kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Idara ya Jeshi la Polisi.wengine waliongozana na Naibu ni viongozi wa Baraza hilo.(Picha zote na Abubakari Akida,Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani  ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi uliofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment