![]() |
Majengo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo Wilaya ya Kaskazini B.Unguja yakiwa katika hali hiyo inanyoonekana pichani katika ukarabati unaofanywa na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,[Picha na Ikulu.] |
![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akionesha kitu wakati alipotembelea kiwanda cha Sukari cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B. Unguja leo ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,akiwa katika ziara aliyofuatana na Viongozi mbali mbali wa Serikali,[Picha na Ikulu.] |
No comments:
Post a Comment