![]() |
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda aachiwa huru
na Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Morogoro, ushahidi haukujitosheleza
upande wa mashtaka. -Makosa yaliyokuwa yakimkabili ni mawili ambayo ni kushawishi watu kutenda kosa, pamoja na kutoa matamshi yanayoumiza imani ya dini nyingine. |
No comments:
Post a Comment