![]() |
| Katibu kutoka Filmmaking Clinic of Tanzania (FCoT) Bw. Ignas Mkindi (Kulia) akizungumza na wadau wa filamu (hawapo pichani) wakati wa kongamano la wadau hao jana Mkoani Morogoro. Kushoto ni mdau wa filamu na mratibu wa kongamano Bw. Kheri Mkamba |
![]() |
| Mkurugenzi kutoka Tansquare Film House Bi. Christina Mroni akichangia mada wakati wa kongamano la wadau wa filamu lililofanyika Jana Mkoani Morogoro kujadili changamoto na namna ya kukuza tasnia ya filamu nchini. Picha na: Genofeva Matemu -Maelezo. |




No comments:
Post a Comment