KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 29, 2015

WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS DKT.MAGUFULI KATIKA SEKTA YA ELIMU WATAKIONA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Mcheche Masaju akiongea na wazazi, wanafunzi na Viongozi wa Shule za wanawake na wanaume za Fedha katika mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam na kusisitiza katika umuhimu wa kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuendeleza sekta ya elimu nchini
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Mcheche Masaju akitoa veti kwa baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri katika maaeneo ya Uongozi, Usafi na katika Elimu katika kipindi cha miaka minne ya masomo yao.

No comments:

Post a Comment