| Pichani Mbunge wa jimbo la Mafinga mji ni Cotato Chumi akimkabidhi msaada wa vitanda ,magodoro pamoja na vifaa mbalimbali kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Mafinga Dk Abdul Msuya juzi |
![]() |
| Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatiliwa ugawaji wa vifaa hivyo wakati wa makabidhiano |
![]() |
| Mbunge wa mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi vifaa hivyo kwa vitendo |
![]() |
| Baadhi ya wadau na wanachama wa chama cha mapinduzi ccm walihudhulia tukio hilo |
…………………………………………………………………………………..
TATIZO la upungufu wa vitanda katika wodi yaakina mama na watoto katika hospitali ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringaambalo kwa muda mrefu limekuwa chanzo cha msongamano na uwalazimubaadhi ya wagonjwa kulala sakafuni sasa limepatiwa ufumbuzi baada yauongozi wa hospitali hiyo kupokea msaada wa vitanda na vifaa tiba kutokakwa mdau wa maendeleo katika sekta ya afya.
Mbunge wa Mafinga Mjini(CCM) Cosato Chumi alisema kuwa kwa muda mrefu hospitali hiyo ilikuwa inaupungufu wa vifaa mbalimbali ikiwemo vitanda hali iliyofanya kuandika maandikombalimbali kwa wahisani wa nje ya nchi ili kuweza kumsaidia kupatavifaa hivyo .
Alisema kuwa umefikawakati sasa wadau mbalimbali, mifuko ya kijamii na makampuni kujenga utamaduniwa kusaidia watu wenye mahitaji mbalimbali wakiwemo watoto wanaoishi kwenyemazingira magumu na wagonjwa hospitalini kwani kufanya hivyo ni sehemu yakurudisha kile wanachokitapa kwa jamii.
“Unajua afya ni kilakitu katika maisha ya binadamu hivyo lazima nitekeleze ahadi zangu nilizotoawakati wa kampeni na wanachi lazima tufanye kazi kwa kujituma ili tumuungemkono rais wetu ambaye anania ya ya kutuletea maendeleo na kuwataka wadaumbalimbali kusaidia jamii zenye mahitaji na kuacha kutegemea serikali pekee “alisema
Chumi aliwaomba wananchiwa jimbo hilo kuunga mkono kwa kufanya kazi kwa nguvu zote ili walete maendeleokwa pamoja maana akifanya kazi pekee yake bila wao hawezi kuleta maendeleopekee yake.
Msaada huo wa vitanda 16 na magodoro 11 na vitumbalimbali umetolewa na taasisi binafsi inayojishughulisha na masuala yaafya ya nchini Astralia ijulikanayo kama “Rafiki Surgical Mission” kwauratibu wa ofisi ya mbunge wa jimbo la Mafinga mjini
Alisema kuwa msaada huo aliopatiwa na rafiki zao hawajatoa hata
senti tano bali huwa marafiki hao wanachangishana fedha na kununua vifaahivyo na kisha kuvisafirisha mpaka bandari kavu ambapo hapo ndio hutumiagarama kusafirisha vifaa hivyo mpaka sehemu husika
senti tano bali huwa marafiki hao wanachangishana fedha na kununua vifaahivyo na kisha kuvisafirisha mpaka bandari kavu ambapo hapo ndio hutumiagarama kusafirisha vifaa hivyo mpaka sehemu husika
“Nduguzangu nadhani kila mmoja alikuwa akifahamu machungu waliyokuwa wakipatamama zetu wanapokuja kujifungua kwa kukosa sehemu za kujifungulia lakinileo hii msaada huu utatusaidia sana na yoyote atakayeguswa na anawezakuja na kuchangia chochote maana mufindi ni yetu sote na mufindiitajegwa na wanamufindi wenyewe”alisema
Alisemajambo kubwa lilokuwa likimuumiza kicha kila kukicha ni tatizo la vifaakatika hospital, elimu pamoja na tatizo la maji hivyo ni wakati
wawanamafinga kushikana kwa pamoja katika kusumkuma mbele gurudumu lamaendeleo ili kuendana na kauli mbiu ya sasa ya HAPA NI KAZI TU.
Akipokea msaadahuo kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Mafinga dk Abdul Msuya alisemakuwa msaada wa vitanda hivyo na magodoro na vifaa mbalimbaliutakuwa umemaliza kabisa tatizo la vitanda hospitalini hapo licha yakukabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kumalizika endapokutatokea mdau mwingine kuwasaidi Kwa upande wake
katibu wa ccm wilayaya Mufindi Jimsoni Muhagamaalimpongeza
mbunge huyo kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo huku akimwambia kuwa ni wakati wa kutekeleza kazi kwa vitendo na wala si maneno kwani wananchi wanapaswa kutatuliwa kero mbalimbali zinazowakabili badala yakupiga porojo zisizo na msingi .
mbunge huyo kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo huku akimwambia kuwa ni wakati wa kutekeleza kazi kwa vitendo na wala si maneno kwani wananchi wanapaswa kutatuliwa kero mbalimbali zinazowakabili badala yakupiga porojo zisizo na msingi .
Mhagama alisema kuwa kila mmoja anapaswa kuwajibika ipasavyo katika nafasi yakekwani kasi anayokwenda nayo Rais John Magufuli si ya mchezo bali ni yamchaka mchaka na ili nchi iweze kusimama katika mstari ulionyoka kilammoja anapaswa kucheza wimbo wa mchaka mchaka
‘’Huuu siwakati lelemama huu sio wakati mchezo mchezo ni wakati wa uwajibikaji,hakika Tanzania tumepata kiongozi mchapa kazi tazama sasa ni siku ya 27nchi inaongozwa na watu wanne lakini kila sektaa imenyoka na mimi nasemaa Magufuli wanyooshe tu kwa kuwa watu walikuwa wakifanya kazi kwamazoeya bila ya kuangalia madhara wanayopatawatanzania
Hatahivyo Mhgama alisema kuwa kwa kuwa kipindi cha muda mchache nchi inaongozwana watu wachache na nchi imesimama haoni sababu ya kuwa na baraza kubwala mawaziri bali Rais Magufuli achague baraza dogo kamala watu10 ili kupunguza mzigo kwa serekali yake ya kuwa na mawziri wengiwasiokuwa na tija .





No comments:
Post a Comment