| Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan,
akiongozana na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete,
Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing, wakiangalia moja ya
Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya
Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika
Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. Dkt. Jakaya
Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo
unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR |
No comments:
Post a Comment