![]() |
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kupongeza jopo la
Madaktari waliomhudumia katika Hospitali ya Mhimbili.
|
![]() |
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kupongeza jopo la
Madaktari waliomhudumia katika Hospitali ya Mhimbili kutoka kushoto ni
Profesa Mohamed Janabi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo na Katibu Mkuu
wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee, Dkt.
Mpoki Ulisubisya na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto
na Wazee Mhe Ummy Mwalimu
|
![]() |
| Profesa Mohamed Janabi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo akimshukuru Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kwa kutoa zawadi za kadi za pongezi kwa baadhi ya madaktari na wauguzi wa Taasisi hiyo ya moyo kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu |
![]() |
| Profesa Mohamed Janabi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete akiwafafanulia waandishi wa habari mambo mbalimbali waliyotaka kujua kuhusu taasisi hiyo katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu na kushoto ni Katibu Mkuu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee, Dkt. Mpoki Ulisubisya. |






No comments:
Post a Comment