KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 9, 2016

DK. SHEIN AFUNGUA STUDIO YA MUZIKI NA FILAMU ZANZIBAR

ST1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Studio ya Muziki na Filamu mara alipowasili katika viwanja vya Studio ya Rahaleo Mjini Unguja wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu leo ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya  ufunguzi rasmi wa Studio ya Muziki na Filamu uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Studio za Muziki na Filamu Bakari Shomari alipotembelea Studio ya kurikodia Muziki baada ya kufanya ufunguzi rasmi  uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment