KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 15, 2016

GARI YA WIZI YAKAMATWA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Gari aina ya NOAH Namba T378 BYH rangi nyeupe imekamatwa huko nachingwe mkoani
lindi. Baada ya uchunguzi polisi wamebaini kuwa rangi ya awali ya gari
hiyo ni TRIM na mmiliki wake halali ni ABDALA MOHAMED MCHONDA P.O.BOX
1370 DAR ES SALAAM. Namba original za gari ni T 223 CUX. Yeyote mwenye
taarifa ya kupotea gari yenye maelezo hayo awasialiane na Polisi
Nachingwea kupitia RTO LINDI [0658 376074].Imeandaliwa na RSA na Dj Sek

No comments:

Post a Comment